myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Usiku unakua
Asha miuno?😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1203779
Umetokea wapi potiii??!!!Mlugaluga kwisha habari yako. Ifu yu no wati ai mini! [emoji3][emoji3][emoji3]
Umetokea wapi potiii??!!!
Hauchelewagi kuharibu mipango ya watu wewe [emoji3][emoji3][emoji3]
Haya vipi, kwema huko?
Kila siku ianzapo ni mapambano mapya, jambo la kumshukuru Mungu ni hii bahati ya kuwa hai na afya njema.[emoji3][emoji3][emoji3]... Safi ndugu yangu. Habari ya uzima huko? Basi bana wewe endelea kunyata aisee!
Wapi 😂Hapo sawa.
Haya kwema (achana na huko kwingine) huko?