moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Numbisa tunasubiri mualiko wa pilau la kusherekea kuongeza mwaka[emoji23][emoji23][emoji2089]
Imagine. No misambwanda evaa. No konokono. Parachichi nene refu lililopinda kwa mbele linakuwa yuzilesi linaliwa tu na mafunza. Kimyaaa tena aloni chini ya ardhi. Ukifikiria sana haya mambo mpaka unamkumbuka hata Kiranga yaani. Ni kweli hakukuwa na njia nyingine ya kuyatengeneza haya maisha yakawa kivingine? Yote haya ni kwa sababu tu maboya wawili waliodanganywa mpaka wakadanganyana wakala tunda lililokatazwa? Ngumu kumesa yaani ila basi ndo hivyo hakuna la kufanya [emoji36][emoji36][emoji36][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ushapewa nywila eeh?
Heheheh! Tayari, vipi na wewe usharudishiwa uhuru wako?
Poleni wakulima wetu
Poleni walezi wa nyumba zetu
Poleni mlio kwenye daladala
Poleni wasafiri. mfike salama
Poleni wagonjwa..Mungu awaponye
Wafanyakazi wote poleni
Kila mtu ana umuhimu wake..
Shwaini zako... Umenifanya nianze kuizuum ile picha pande zote ili nijiridhishe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Huko kwema?
Wakuu na mimi natafuta likes
😁😁 natuliaYaani unataka kusema...... Binti mcheshi taratibu [emoji3][emoji3][emoji3]
Hapo sawa.[emoji16][emoji16] natulia