Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hahahahhahaha hahahahahah.! Umejua kunichekesha asubuhi hii[emoji1][emoji1]Kwema kabisa huku sweta la Tanzania huku uzi wa 7800 mara baharia wa 78000 mambo ni fireee
[emoji848]kiasi hiki cha mate ni sawa na chupa moja ya wine kila siku na kwa wastani wa maisha yote, mwili wa binadamu hutengeneza mate kiwango cha kujaza swimming pools mbili.
bado hajashiba ndio kwanza ameanza kulaShibe
Hahahaha yule baharia shuain zake kabisa. Yaan ka elfu saba tu na bado analalamika hajibiwi PMHahahahhahaha hahahahahah.! Umejua kunichekesha asubuhi hii[emoji1][emoji1]
Ila baharia wa 7800 mkatili sana.!
Ndio inatafutwa shibe kuna sehemu atakua amebanwa kibiashara goti limesaidia kulegeza mambobado hajashiba ndio kwanza ameanza kula
usianzishe vita haliyakuwa una udhaifu mkubwa kuliko adui yako.Hahahaha yule baharia shuain zake kabisa. Yaan ka elfu saba tu na bado analalamika hajibiwi PM
Na watazamaji tukafaidi story za pande zoteusianzishe vita haliyakuwa una udhaifu mkubwa kuliko adui yako.
mwanamke alikurupuka
Na watazamaji tukafaidi story za pande zoteusianzishe vita haliyakuwa una udhaifu mkubwa kuliko adui yako.
mwanamke alikurupuka
upo sahihi lakini mwenye nguvu hana msamaha mwepesiNdio inatafutwa shibe kuna sehemu atakua amebanwa kibiashara goti limesaidia kulegeza mambo
aliyemaliza vita ameibuka mshindi kwa sababu alipata muda mrefu wa kupanga mashambulizi yake tofauti na muanzishaji.Na watazamaji tukafaidi story za pande zote
upo sahihi lakini mwenye nguvu hana msamaha mwepesi
Aliyeimaliza kaipandisha hadhi story nzima. Ila wote wale wale lifestyle aina ya amba ruty maana pamoja na kuumbuana bado wanadunda MMU na nyuzi zao kila dakikaaliyemaliza vita ameibuka mshindi kwa sababu alipata muda mrefu wa kupanga mashambulizi yake tofauti na muanzishaji.