Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

A group of husbands gathered at a conference on "How to live in a loving relationship with your wife".

They were asked: "How many of you love your wives?"

All raised their hands.

Then they were asked, "Wen was the last time you told your wife you loved her ?"

Some men answered:

"Today",

some: "yesterday",

The majority didn’t remember.

The men were then told to take their cell phones and send the following text to their respective wives:

"I love you, sweetheart".

Then the men were asked to exchange phones so one can read the response each wife had sent.

Here are some of the replies:

1. "Have you impregnated someone again?"

2. "That was then, not now".

3. "I know you want to borrow money from me again! Forget!"

4. "What have you done again? I won’t forgive you this time!

5. What do you mean?"

6. "Is that a name of a new song?"

7. "Am I dreaming! "

8. "If you don’t tell me who this message is actually for, you will die today!"

9. "I asked you to stop drinking!"

10. "May I know who is this?"

11. "You should start seeing your psychiatrist again! This is not a good sign!".

12. "Who gave you air time?"

13.What do you want?

14.Is your mother coming to live with us again?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kasheshe tupu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
DIWANI ATHUMANI MSUYA NI NANI?

By Malisa GJ,

Leo laifa leo limepata 'boss' mpya wa idara ya usalama wa taifa (TISS). Diwani Athumani Msuya, mzaliwa wa Mwanga mkoani Kilimanjaro. Huyu ndiye 'shushushu' mkuu kwa sasa, ama 'Boss wa makachero', au Jasusi wa taifa. Vyovyote vile utakavyomuita katika kuelezea nafasi yake mpya ambayo ni nyeti sana ktk usalama wa nchi.

Diwani Athumani Msuya ni Askari Polisi, ambaye alipata mafunzo ya awali katika chuo cha polisi (CCP) Moshi na baadae mafunzo ya juu katika chuo cha maafisa wa Polisi Kilwa road (Kurasini), Dsm na Kidatu, Morogoro.

Katika utumishi wake kwenye jeshi la Polisi ameshika vyeo na nyadhifa mbalimbali, ikiwemo kuwa msaidizi binafsi (Aide-De-Camp) wa IGP Omary Mahita. (Aide-de-camp ama kwa kifupi ADC au 'bodyguarg' kama wengi mlivyozoea kuwaita).

Mwaka 2008 alipandishwa cheo kutoka Mrakibu wa Polisi (SP) kuwa Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) na baadae kuteuliwa kuwa Mkuu wa upelelezi mkoa wa Mbeya (RCO).

April 28 Mwaka 2010 alipandishwa cheo kutoka Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) kuwa Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) na kubaki na majukumu yake yaleyale ya Mkuu wa upelelezi mkoa wa Mbeya.

November mwaka 2010 IGP Saidi Mwema alimpangia majukumu mapya ya kuwa Kamanda wa polisi (RPC) mkoa wa Shinyanga kuchukua nafasi ya ACP Daudi Siasi.

May 2012 alihamishwa kutoka Shinyanga kurudi Mbeya kuendelea na majukumu yake kama Kamanda wa polisi (RPC) wa mkoa wa Mbeya.

November 21 mwaka 2013 Rais Jakaya Kikwete alimpandisha cheo kuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) kutoka Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP).

Alidumu katika cheo hicho kwa wiki mbili tu, na December 06 mwaka huohuo (2013) Rais Kikwete alimpandisha tena kuwa Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) na kumteua kuwa Naibu Mkurugenzi wa makosa ya jinai (Deputy DCI).

Mwaka 2014 alibadilishiwa majukumu kutoka Deputy DCI, kuwa Kaimu Kamishna wa kamisheni ya Intelijensia ya Jinai.

Tarehe 20 March 2015, Rais Kikwete aliwapandisha vyeo maafisa watatu (3) wa Jeshi la Polisi kutoka Naibu Kamishina (DCP) kuwa Makamishina kamili (CP). Maafisa hao ni Kenneth Kasseke, Elice Mapunda na Diwani Athumani.

May 12 mwaka 2015 Rais Kikwete alimteua Kamishna Diwani Athumani kuwa Mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai (DCI) kuchukua nafasi ya Isaya Mungulu ambaye alistaafu.

November 18 mwaka 2016 Rais Magufuli alitengua uteuzi wake katika nafasi ya DCI na kumteua kuwa Katibu Tawala (RAS) mkoa wa Kagera.

Miaka miwili baadae yani mwaka 2018, Rais Magufuli alimtoa kuwa RAS Kagera na kumteua kuwa Mkurugenzi mkuu wa TAKUKURU kuchukua nafasi ya Valentino Mlowola ambaye aliteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba.

September 12 mwaka 2018 Diwani Athumani Msuya aliapishwa kuwa Mkurugenzi mkuu TAKUKURU. Na leo September 12 mwaka 2019 ameapishwa tena kuwa Mkurugenzi mkuu wa Idara ya usalama wa Taifa (TISS), kuchukua nafasi ya Mchungaji Dr.Modestus Kipilimba ambaye uteuzi wake umetenguliwa. Diwani ana shahada ya uzamili ya Sheria (LLM).!
Tumekula bakora zake sana kipindi ni cid maeneo fulani tukiwa tuna fanya biashara ya sukari/petrol kutoka upande wa pili. Hata hivyo ni kaka mwema sana katika maisha ya kawaida.
Mungu aendelee kumbariki na kumsimamia kwenye majukumu yake ya kila siku.
 
f578b70e-6e51-4715-817b-14541b98a76f.jpeg
 
Back
Top Bottom