Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1566531844026.jpeg
 
[emoji23][emoji23] nakumbuka hayo maeneo ya mkoa furani, sukari toka nchi furani[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Tumekula bakora zake sana kipindi ni cid maeneo fulani tukiwa tuna fanya biashara ya sukari/petrol kutoka upande wa pili. Hata hivyo ni kaka mwema sana katika maisha ya kawaida.
Mungu aendelee kumbariki na kumsimamia kwenye majukumu yake ya kila siku.
 
Back
Top Bottom