Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"It doesn't surprise me [that he's still performing]," Mourinho told Portuguese TV, per ESPN. "At 34, he is top in the world, in a top team, in top condition. I'm not surprised whatsoever because genetically and mentally he is a case study.
Ronaldo set another record in midweek.
 
REAL Madrid na Chelsea zimefikia makubaliano maalumu kuhusu uhamisho wa kiungo, N’Golo Kante, 28 huku Madrid ikitaka kuwa timu ya kwanza kufahamishwa na Chelsea kama inamuuza staa huyo au kama kuna klabu nyingine zinamtaka nyota huyo.
 
Inadaiwa Kocha wa Real Madrid, Zinedine Zidane kwa muda mrefu amekuwa akimtaka kiungo huyo wa kimataifa wa Ufaransa huku Chelsea ikiwa imegoma kumuuza lakini sasa Madrid imepewa nafasi ya kumnunua kama klabu nyingine zikimtaka.
 
Kante amekuwa mmoja kati ya viungo bora barani Ulaya tangu alipoibuka katika kikosi cha Leciester City kilichotwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya England Mei 2016 lakini achilia mbali kutakiwa na Real Madrid pia amekuwa akitakiwa na mabingwa wa Ufaransa PSG.
 
Back
Top Bottom