Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Isevu kabisa ili safari nyingine usihangaike. Au iwache tu...naibadilisha kwa muda
naifuta
baadae nahangaika kuitafuta tena mitandaoni
Kumbe ananidanganya eeh!Acha kabisa kumdanganya mdogo wetu Depal
Na wewe unahitaji kunenepa?
Hahahahteh teh teh
kila afanye maandalizi ya nauli, hatutaki kusikia kelele za 7800
jamaa ana vituko kuliko katuni ya rangoHiyo ya kukoga ilishaisha. Sasa ni wahubiri kwenda kuhubiri kwenye mabaa na night clubs [emoji16][emoji16]
Sina uhakika kama umenielewa sawasawa kwenye hiyo comment. Nimeweka na msisitizo kabisa #ifyouknowyouknow.Kumbe ananidanganya eeh!
SHIMBA YA BUYENZE acha kabisa tabia hiyo sio nzuri
nitaiweka kwenye cloudIsevu kabisa ili safari nyingine usihangaike. Au iwache tu...
...Na kusaidia wagonjwa wanaohitaji operesheni ghali mahospitalinijamaa ana vituko kuliko katuni ya rango
tezi dume
kukoga
database ya wajane
database ya walioa
kuhubiri klabu ya starehe
kitu pekee anachopatia ni zawadi ya millioni 10 kwa magolikipa
kwani wale ng'ombe, mbuzi, kondoo bado wapo hai?Sina uhakika kama umenielewa sawasawa kwenye hiyo comment. Nimeweka na msisitizo kabisa #ifyouknowyouknow.
Maziwa hayo yapo ya kutosha. Njoo !!! [emoji16][emoji16]
karibuHodi Hodi humu Ndani Wakuu
jamaa ana uhakika wa kuwa madarakani tena kwa miaka 6 zaidi panapo uhai, usiniulize kwa nini...Na kusaidia wagonjwa wanaohitaji operesheni ghali mahospitalini
Bro bro. Looooong time no see. Hawa yu? Mkatalunya Limjamaa umetafutwa kila kona. Welokamu bak [emoji870][emoji870][emoji870]Hodi Hodi humu Ndani Wakuu
Na kama dadi wake akifanikisha kuondoa ukomo wa madaraka basi atakuwa madarakani mpaka azeekeemojamaa ana uhakika wa kuwa madarakani tena kwa miaka 6 zaidi panapo uhai, usiniulize kwa nini