myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Miye sijambo. Wewe vipi? Fikisha salamu zangu kwa dada na wapwa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Biashara ya parachichi na joto hili ngumu sana. Labda nirudi kule kule nyanda za juu kusini.
Habari za majukumu shemeji?
Nipige hodi kwa nani huko?Huko twitter.....
Yego [emoji351][emoji351][emoji351][emoji351][emoji170][emoji173]View attachment 1207475
Mbona umepauka na vumbi hivyo π ni kwenye maparachichi tu au ulibadilisha route juu kwa juu?Ni kweli binti yangu, ila kila mara huwa nakuja kukuchungulia kama upo salama.
Haya, nakuona mara kwa mara na hawa wazee humu, kuna hekima zozote unazichota kutoka kwao?
Usiache ucheshi wao uende bure, kwenye utani wao kuna mengi ya kujifunza, sawa mama?
Kuna sehemu nimeona unaulizwa sijui kunyoa sijui kipara?!!! Hata sikusoma vizuri maandishi yalikuwa hayaonekani.... Hata sijui umejibuje?!!! Achana na hilo...
Mungu ni mwema, nipo vizuri kabisa. View attachment 1207454
πππππππ Daah noma sana MkatalunyaView attachment 1207467View attachment 1207468
Mkatalunya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa humo kwenye chupa nani kakuweka?Mi ni njia kuu daima. Michepuko mwiko !!!
View attachment 1207464
Huyo mcheshi ndio yupi?Binti mcheshi
Binti mpole
Binti mstaarabu
Binti cha ukorofi hayupo eeh?