Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukisikia kichwa kinagonga usikimbilie kunywa Panadol. Kunywa glasi angalau mbili za maji halafu subiri nusu saa. Mara nyingi inakuwa ni dehydration tu na ukikimbilia kunywa dawa ndo unaharibu zaidi. Tujenge tabia ya kunywa maji ya kutosha si kwa faida ya figo tu na viungo vingine bali hata kwa ubongo wetu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa binti mcheshi, naja muda si mrefu.Acha nioge mara moja...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…