Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
✔✔Ukisikia kichwa kinagonga usikimbilie kunywa Panadol. Kunywa glasi angalau mbili za maji halafu subiri nusu saa. Mara nyingi inakuwa ni dehydration tu na ukikimbilia kunywa dawa ndo unaharibu zaidi. Tujenge tabia ya kunywa maji ya kutosha si kwa faida ya figo tu na viungo vingine bali hata kwa ubongo wetu
View attachment 1207483
hivi hizi kucha ndefu wanawake huwa wanazifuga au wanazibandika kwa super glue?
msaada tafadhali
Duh!Migombani....
View attachment 1207681
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji818][emoji818]Kula mboga za majani-
[emoji818][emoji818]Kula Matunda Kwa Wingi-
SawasawaPata Usingizi wa Kutosha:
Kweli..Kunywa Maji kwa wingi-