Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Sasa nimeelewa kwanini uliniambia nisome hichi kitabu baada ya kuona nimemuambia binti mchangamfu avunje ile chupa...... asante kaka kama vipi ungana na mimi kuwaona City hapa
Mpira tucheze sisi magoli tufungwe sisi. Dah!
Napenda kutuma salamu kwa Yegomasika popote pale alipo.
Ujumbeπole kwa mvua ya leo[emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Nipo na dogo hapa shabiki wa city yaan kakosa raha hadi huruma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ππππππ SYB acha utani wa ngumiLeo ndo tumeona kila aina ya miguu ya watu wa Yanga, Milonjo, mishipa, fito, midenge ya baiskeli, viazi, miguu mingine haina maelezo wala majina.[emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]
Mpira umeisha kwani?Nipo na dogo hapa shabiki wa city yaan kakosa raha hadi huruma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]