Fragaria
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 7,188
- 40,444
🤣🤣 SYB buana!Niko poa. Wewe unapotea tu siku hizi. Ni kazi zimekuzidia? Ni shemeji yetu anachomoa nywila? Ni nini? I hope hujambo...
Fragaria tuliyekuwa tumemzoea wala hayupo tena[emoji36][emoji36][emoji22]
😂 😂 😂 😂 😂Umeanza usumbufu wako humi!
Lakini mimi sijasevu mtu anaetumia ttcl, na pia nachukia wanaume wasiojiamini....
😂😂😂😂😂😂Mkuu umejisahau umetumia ID yako ya kiume.... Sasa mkuu why unajifanya miss kumbe ni dume...
Lovenear kakuzidi si uliniringia?Nampenda sana sana tu lakini sasa
Asante shimba, itanibidi nizoee tu nilikubali mwenyewe😄😄Pole The Happiness. Majamaa yalikudanganya tu yaani. Nilipambana sana lakini yakanishinda. Nakuonea huruma sana [emoji22][emoji22][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Uzi umefikisha replies million moja na mimi mnipe like basi😎