Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

watu wengi husumbuliwa na tatizo la ngozi zao kuzeeka haraka, kukosa mvuto na kupoteza mvuto wake wa asili, wengi husumbuliwa na mapele, chunusi, ngozi kukauka, madoa na mashimo kwenye ngozi, na hii husababisha wengine kutumia gharama kubwa kununua vipodozi kwa ajili ya kutibu ngozi zao. leo nitawaletea dondoo chache tu za kufanya na kutunza ngozi yako ili iendelee kuwa na mvuto.
 
1. Tumia vipodozi vinavyoendana na ngozi yako
watu wengi huharibu ngozi yao wenyewe bila kujua kutokana na kutumia vipodozi visivyoendana na ngozi zao, utakuta mtu ana ngozi yenye mafuta lakini anatumia vipodozi vya watu wenye ngozi kavu, au mtu mwenye ngozi kavu anatumia vipodozi vya mtu mwenye ngozi ya mafuta, hapo lazima ngozi yake itaharibika.
 
kumbe kuna ngozi zenye mafuta mengi na zisizo mafuta.
sijui nipo kwenye kundi gani hapo mjinga mimi.
mpaka leo sijui hata damu yangu ipo kundi gani.
msinicheke jamani sina pesa ya kucheki afya kijinga jinga mpaka niugue
 
kumbe kuna ngozi zenye mafuta mengi na zisizo mafuta.
sijui nipo kwenye kundi gani hapo mjinga mimi.
mpaka leo sijui hata damu yangu ipo kundi gani.
msinicheke jamani sina pesa ya kucheki afya kijinga jinga mpaka niugue
Jamani!!!
Kucheck kundi LA damu kama huna bima ni elfu tatu tu za kitanzania.

Weka USO wako hapa tuangalie kama ni wa mafuta au uko na ngozi kavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…