Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Akiweka uso wake unitag!πJamani!!!
Kucheck kundi LA damu kama huna bima ni elfu tatu tu za kitanzania.
Weka USO wako hapa tuangalie kama ni wa mafuta au uko na ngozi kavu
teh teh ahsante kwa ofa yako na pole kwa kwenda mchomoNitakuongezea na kimchi
Hivyo umesema unanimiss?[emoji85][emoji85]
hesabu moja mpaka 10Akiweka uso wake unitag!π
Sawa πAkiweka uso wake unitag!π
yes, kabla hujapakuliwa na mabaharia wachafuDunia sinia Pakua unachoweza
Asalaam Alyeikum, naona Umefurahi mpendwa
2:18
walichokosea uongozi wa JF ni kuifanya hii forum uwe na uwezo wa kuaccess bila ya kuwa na account tofauti na social network mfano fb, twitter.Sawa π
152715;23
Kwani nyie mlikuwa kwenye Uzi gani mpaka mletwe huku [emoji849]
hii kazi anaiweza general myoyambendi a.k.a mzee wa vipensi.1527
Josefu unaitwa hukuuuu!walichokosea uongozi wa JF ni kuifanya hii forum uwe na uwezo wa kuaccess bila ya kuwa na account tofauti na social network mfano fb, twitter.
ndio maana social network si rahisi kumuona user anatumia fake information kwa sababu inakuwa ni vigumu kufahamu alichokifanya member mwengine wakati anajiunga.
wiki mbili zilizopita nilizifuta account zangu zote za kijamii nilizojaza taarifa zangu sahihi na kufungua account mpya kwa kutumia fake email and fake username kama jf.
huku jf unamuona cinderella anajiita fragaria
joseph anajiita shimba ya buyenze.
what next?
na mimi pandu ngozi nitajipa jina la prince nabil don elbalchadey.
this is JF.
sura yangu mbaya kama vampire
nilifikiri wale jamaa ni vichaaKwani ulikuwa hujashitukia.
Kuna muda uzi huu unafanywa kama gulio, kuna nyuzi huwa zinatupiwa huku, utakuta comment tofauti na maudhui ya hapa.
Mi niliwaona muda mwingi watu wa MMU[emoji23][emoji23][emoji23][emoji849]
binafsi nilishangaa asubuhi nilipowaona majasusi wamevamia nyuzi ya watu tokea saa 11 asubuhi
Hebu weka picha ya kipensi tuone miguu hiyo!hii kazi anaiweza general myoyambendi a.k.a mzee wa vipensi.
jana wajanja wamemuona dukani kwa shaffih dauda kabla ya mechi ya yanga
itabidi tufanye maandamano ya amani ili kukomesha huu ujinga wa moderators.Wametokea MMU, mara nyingi huwa wanapotezwa kwenye uzi huu bila wao wenyewe kujua
ππππ sawa Prince Nabilwalichokosea uongozi wa JF ni kuifanya hii forum uwe na uwezo wa kuaccess bila ya kuwa na account tofauti na social network mfano fb, twitter.
ndio maana social network si rahisi kumuona user anatumia fake information kwa sababu inakuwa ni vigumu kufahamu alichokifanya member mwengine wakati anajiunga.
wiki mbili zilizopita nilizifuta account zangu zote za kijamii nilizojaza taarifa zangu sahihi na kufungua account mpya kwa kutumia fake email and fake username kama jf.
huku jf unamuona cinderella anajiita fragaria
joseph anajiita shimba ya buyenze.
what next?
na mimi pandu ngozi nitajipa jina la prince nabil don elbalchadey.
this is JF.
sura yangu mbaya kama vampire
Mtoto wa jirani anasomeshwa Uingereza
Baba yake na Athumani alikufa Mvuvi wa pweza
Masikini wa Imani ndiyo Tajiri wa kifedha