D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
cha ajabu zaidi alinunua pensi kwa shilingi 3000/= lakini chini amevaa viatu vyenye thamani ya shilingi 2500.Hebu weka picha ya kipensi tuone miguu hiyo!
Utayaongoza hayo maandamano!itabidi tufanye maandamano ya amani ili kukomesha huu ujinga wa moderators.
uzi wetu sio debe la taka.
sina simu ya camera😂😂😂😂 sawa Prince Nabil
We week picha kwanza tukusaidie kuangalia
Wala hata sikuwa na habari.Kwani ulikuwa hujashitukia.
Kuna muda uzi huu unafanywa kama gulio, kuna nyuzi huwa zinatupiwa huku, utakuta comment tofauti na maudhui ya hapa.
Mi niliwaona muda mwingi watu wa MMU[emoji23][emoji23][emoji23][emoji849]
OMG! 🏃♀️🏃♀️🏃♀️cha ajabu zaidi alinunua pensi kwa shilingi 3000/= lakini chini amevaa viatu vyenye thamani ya shilingi 2500.
cha kuchekesha zaidi ilikuwepo suruali ndefu yenye thamani ya shilingi 15000.
kuhusu miguu vidole vyake vinafanana na miguu hii
View attachment 1208278
nyakati zile za vita ya kagera kuna baadhi ya wanajeshi walikula sabuni za kufulia nguo ili wapate kuharisha mfululizo.Utayaongoza hayo maandamano!
Kumbe! Binafsi nilishangaaa hawa watu vipi, comments zao sasa ndio mtihani kabisa [emoji23]
elfu tatu ni nauli kutoka mjini hadi nungwi beach
Wanazengo hamjambo[emoji3][emoji3]
Mtoto wa jirani anasomeshwa Uingereza
Baba yake na Athumani alikufa Mvuvi wa pweza
Masikini wa Imani ndiyo Tajiri wa kifedha
Akiweka uso wake unitag![emoji3]
typing errorHujambo bi Kantwe
mara ya pili nikishuhudia ujinga ule nitamwaga dislikes za kutoshaMi nikiwaona wala sihangaikagi nao, nawapita tu
6.zilinde nywele zako unapokuwa unaogelea
unapokuwa unaogelea baharini au kwenye bwawa la kuogelea, jaribu kuzifunika nywele zako au zipake mafuta ya kuzui zisiharibike na maji, na unapotoka kuogelea zisafishe nywele zako kwa maji safi na uzikaushe.
6.zilinde nywele zako unapokuwa unaogelea
unapokuwa unaogelea baharini au kwenye bwawa la kuogelea, jaribu kuzifunika nywele zako au zipake mafuta ya kuzui zisiharibike na maji, na unapotoka kuogelea zisafishe nywele zako kwa maji safi na uzikaushe.
hii kazi anaiweza general myoyambendi a.k.a mzee wa vipensi.
jana wajanja wamemuona dukani kwa shaffih dauda kabla ya mechi ya yanga
tumia mafuta ya maiti yanaondoa tatizo la nywele kuharibika.Mafuta ya kuzui? ndio yapi hayo?
nilifikiri wale jamaa ni vichaa
Waaleykum Salaam Moudy..khaifa hali?Asalaam Alyeikum Fragaria