BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Mkuu sisi tunaongea kiarabu chepesi sana hapa.
Asalaam Alyeikum- Salama ya Mungu iwe juu yako.
Waaacha wee[emoji847].....Jumapili yangu ilikuwa na pilika za hapa na pale kuianza wiki upya!As long as the Happiness inapatika unataka nini kingine Duniani, vipi jumapili yako lakini ?
dada yangu nimegundua upendo wako ni wa uongo kwangu.Daah jitahidi walau uwe unaomba kwa jirani[emoji12]
Saaaafi kabisa, best yako maiko hajambo?Njema, habari za ibada
Waaleykhum Salaam.
Huyu hapa anakula akaendelee na majukumu yake[emoji23][emoji23]Saaaafi kabisa, best yako maiko hajambo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseee si kwa ugali huoHuyu hapa anakula akaendelee na majukumu yake[emoji23][emoji23] View attachment 1208517
Waaacha wee[emoji847].....Jumapili yangu ilikuwa na pilika za hapa na pale kuianza wiki upya!
Za hapo home getikali.? [emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38], nani anakufundisha mambo ya mtaani huyo usiongozane nae.....hivi cole gym club una attend wapi[emoji23]Pilika muhimu sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa Fresh tu mixer mbwa Koko kibao wanakula uchafu na makelele ya singeli
Hivi unafahamu hata singeli ni nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseee si kwa ugali huo
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38], nani anakufundisha mambo ya mtaani huyo usiongozane nae.....hivi cole gym club una attend wapi[emoji23]