moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji444]Oooh I heard He likes the brainy ones... uuuuuh[emoji445][emoji445]
ππππ anawasalimia sana.WANTED
jina : shimba ya buyenze
amepotea : tokea mechi ya yanga na zesco.
atakayemuona apige simu namba 0877123456
- ameondoka nyumbani kwa wajukuu zake akiwa amevalia bukta manjano, fulana kijani na ndara kijani.
- ana matatizo ya kupenda wanawake wenye makalio makubwa
- hana tatizo la akili japokuwa ana miaka 96 ya kuzaliwa.
Hii ndio ile ' play ur part ππ
ππππ anawasalimia sana.
Eti yuko busyπ
Am in love with cappuccinoβ
I think so πBusy anatengeneza kichanga/kijacho!?
ππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈ
wewe mwenyewe si umemuona jinsi binti alivong'ara mwilini utadhani amepaka makeup mwili mzima.Utamuweza Daemusin na kauli zake!
ππππππ
weweee wanawake wa zanzibar hawana ngozi ngumu.Amezoea kuona ngozi ngumu ngumu eeh π Daemusin
Haha wanasemaga hivi 'kila mtu akomae na size yake π itakuwa mond sio level za yule bibiewewe mwenyewe si umemuona jinsi binti alivong'ara mwilini utadhani amepaka makeup mwili mzima.
hivi diamond platinamu hajamuona yule msichana?
nikijaaliwa kuwa na msichana mrembo kama yule hata kama ataniambia nisitumie tena JF maisha yangu yote nitamwambia ahsante bibiyee.
ya nini kupoteza tena muda wangu kwa ajili ya likes na hadithi za juma pombe maharage.
Tena hao si ndio watakuwa soft sana ukizingatia ule uvaaji waoweweee wanawake wa zanzibar hawana ngozi ngumu.
wana ngozi zembe.
asubuhi urojo
mchana wali
usiku chipsi mayai.
hana muda wa kufikiria kutafuta pesa yake mwenyewe si anajua ana mume au kivulana pembeni
anavyojidai anawatoa rwanda.Haha wanasemaga hivi 'kila mtu akomae na size yake π itakuwa mond sio level za yule bibie
Tumuulize BAK anapowatoa na wewe tukufanyie mpango
muda wote wanavaa baibui na mashungi kama wajukuuu wa mama maria kristoTena hao si ndio watakuwa soft sana ukizingatia ule uvaaji wao
yes lakini wanavutia ila tatizo wengi wao ni joblessTena hao si ndio watakuwa soft sana ukizingatia ule uvaaji wao