D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
kuwa bwege kwenye ndoa tafsiri yake ni kwamba mmoja wao kati ya mke au mume ajikubalishe kuwa mtumwa wa mwenzake kifikra, kimaamuzi na hata kihisia.Hivi huu msamiati bwege una maana gani isije kuwa mimi nimeelewa vibaya 🤔
Asante mpendwa, mimi nimeelewa huu msamiati kwa maana hii,bwege yaani panapo bidi mmoja ajishushe.kuwa bwege kwenye ndoa tafsiri yake ni kwamba mmoja wao kati ya mke au mume ajikubalishe kuwa mtumwa wa mwenzake kifikra, kimaamuzi na hata kihisia.
mtumwa ndiye asiyekuwa na uhuru wa kumchallenge bosi wake.
mtumwa hana uhuru wa kujiamulia ni muda gani apumzike.
swadaktaSema Ndoa inahitaji uvumilivu na hekima unaweza Sema siwezi kuwa bwege ila inajikuta unakuwa bila kutalajia.
Achana na kitu kinaitwa KUPENDA unaweza kuwa zaidi ya bwege 😀😀😀swadakta
[emoji23][emoji23][emoji23] mambo ni mengi
tafadhali usije ukafikia kiwango cha upumbavu kwa huyo ahjussi.Achana na kitu kinaitwa KUPENDA unaweza kuwa zaidi ya bwege 😀😀😀
Hahahaha usijali mpendwa nimekubali ombi lako.tafadhali usije ukafikia kiwango cha upumbavu kwa huyo ahjussi.
niwekee mchumba na nipo tayari kumsubiria hata miaka 100 kama umri wa marehemu mugabe.
lakini mahari atatoa mwanao kama ndoa za wahindi.Hahahaha usijali mpendwa nimekubali ombi lako.
Why haiwezekani mpendwalakini mahari atatoa mwanao kama ndoa za wahindi.
wazee wa kisasa muna matatizo husuani wanawake mpaka nawashangaa.Why haiwezekani mpendwa