capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Hongera naona jana umewakilisha vyema kwenye Tuzo
Hahah! Chizi weweLeo hawana bando. Nasubiri kesho au baada ya wiki kupita wataibuka hapa. Naona CR7 alishtukia hio ndo maana hajahudhuria tunzo hizo
Huyo mtu alipatikana?Mtu anibembeleze nilale 😕
Asante sana kwa niaba ya #KingKakaHongera sana View attachment 1214576
Hiiii! Huyu mtu jamani
Duh!Wazo la leoView attachment 1214625
Hakuwepo sijui kapotezewa wapi😁😁😁 kumbe Mkatalunya nae hakuwepo?
Mambo vipi mrembo?
Usingizi ulikuja wenyewe🙄Huyo mtu alipatikana?
Itakua majukumu yamemkamata ila atakuja tu maana nahisi huko alipo sasa hivi atakua anakuwaza wewe tu 😁Hakuwepo sijui kapotezewa wapi
Shwari king,za kuadimika?