moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Poleni wakulima wote
Wafanyakazi poleni sana..
Poleni wasafiri, mfike salama
Poleni mlio kwenye matatuu
Wagonjwa Mungu awaponye...
Amani na utulivu wetu muhimu..
Upendo na umoja wetu udumu..
Kila mtu anastahili kuheshimiwa..
15:11
Kuelekea jioni,
Mungu atupe afya na uzima
Kuelekea jioni,
Mungu atupe jioni njema
Amani itawale jioni yetu
Kila jambo na wakati
Beautiful [emoji7]
Asante bro Messi ni hatari
Usiku uwe mwema kwetu wooote