Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

wageni wengi wanaochukulia huu uzi unaongozwa na wachangiaji wapumbavu.
binafsi ile picha niliiona lakini nikashindwa kumpa hata dislike.
huu uzi si wa ponography
Kumbe jamaa walitupia mambo yao humu? Bora binti mpole alivyowachana live, kuna posts niliona sijui za juzi inaonekana kuna uzi Mods waliutupa huku sasa nao wasifanye huku ni jalalani
 
Kumbe jamaa walitupia mambo yao humu? Bora binti mpole alivyowachana live, kuna posts niliona sijui za juzi inaonekana kuna uzi Mods waliutupa huku sasa nao wasifanye huku ni jalalani
tunapaswa tudumishe heshima na nidhamu mbele ya hadhira haijalishi hatuonani kisura.
alichokifanya jamaa ni zaidi ya ujinga.
wapo wadau wanaweka picha za mitego mfano shimba ya buyenze na BAK lakini hawajahi kuvuka kiwango cha uhuni kama alivyofanya jamaa.
 
Inawezekana kabisa kwamba ushiriki wa watu katika mikusanyiko yetu hautokani hata kidogo na mvuto wa mtawala kwao.

Watu wanaweza kushiriki katika mkutano wa kiongozi fulani, si kwa kuvutiwa na namna anavyozungumza, bali kwa kuwa pana vishawishi vyengine vilivyo muhimu na bora zaidi na tafauti kwao.
 
Walevi wanaweza kufuata pombe, vijana wa kiume wakafuata wasichana (hasa ikiwa wasichana hao ni hawa wanaovaa mibano na mipasuo), wazee wakafuata kahawa na au kutokana na hali yetu ya maisha ilivyo ngumu, wengi wanaweza kuvutiwa na mlo – pilau, haluwa, n.k.
 
Lazima wajihakiki na waone ikiwa kweli wao, wakiwa kama upande mmoja wa mawasiliano, ni wawasilianaji wazuri na ikiwa kweli kile wakiwasilishacho (ujumbe) katika mikutano yao, ndicho hasa kinachowavuta watu karibu yao, wakiwa kama upande wa pili wa mawasiliano haya
 
Uzoefu unaonesha kwamba wanasiasa wachovu wana kawaida ya kuyadharau matatizo yanayotokana na mawasiliano na ambayo huyaathiri moja kwa moja mahusiano yaliyopo baina yao na wafuasi wao. Huwa wanakosa uwezo na umakini wa kimawasiliano na, hivyo, kushindwa kuzizingatia hisia na fikra za watu wao.
 
Inaonekana jamaa walivuka mipaka sana, pamoja tushirikiane kudumisha hiyo heshima humu likija genge la wahuni kama hivyo tukemee tu......
 
Matokeo yake ni kuharibika kwa mahusiano baina yao. Wanapofikia hapo, wanasiasa hawa huanza kuchukuwa hatua za kikatili kulazimisha kuwepo kwa mahusiano. Na hata yanapokuja hayo yanayoonekana kuwa mahusiano chanya, basi huwa ni ya kutungwa tu. Hayo hayawasaidii chochote watawala, labda kuwaharibia zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…