D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
nilitaka nimpe talaka 40 lakini bahati yake jana ilikuwa siku ya msiba.🤣🤣🤣🤣 Fenesi eeh?
alivuka mipaka na ukuta wa trump pia aliuruka.Inaonekana jamaa walivuka mipaka sana, pamoja tushirikiane kudumisha hiyo heshima humu likija genge la wahuni kama hivyo tukemee tu......
usiku wa messi.Usiku wa kupeana burudani