moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hahaha huuuu msemo unanipaga maswali mengi sana ivi ni lini tz tulikuwa great?Seki siku hizi yupo nyuma ya MATAGA. Yeye ndio mastermind wa hii initiative.
MATAGA means Make Tanzania Great Again. Ni twin slogan ya MAGA - Make America Great Again ya bwana Trump.
Seki always amekuwa mtu wa behind the scenes.
Tulikuwa great enzi za Dkt. Mwinyi!Hahaha huuuu msemo unanipaga maswali mengi sana ivi ni lini tz tulikuwa great?
Sekioni hakua anaigiza labda tu umemfananisha na Vengu..Seki alikua kama ni kiongozi wa kundi,muandaaji na mtayarishaji wa vipindi vya ze comedy baadae orijino comedy..kwa sasa yupo yupo tu mjini na CCM yakeivi jamani yule kaka aliekuwa anaigiza na kina Joti, anaitwa Seki, sikuhizi yupo wapi
jamaa mycolleague from Iyunga tech,akuje humuivi jamani yule kaka aliekuwa anaigiza na kina Joti, anaitwa Seki, sikuhizi yupo wapi
jamaa mycolleague from Iyunga tech,akuje humu
Escrow ya jofu hahaha kitonga
1999Mwaka gani mkuu?
ivi jamani yule kaka aliekuwa anaigiza na kina Joti, anaitwa Seki, sikuhizi yupo wapi
Hahaha huuuu msemo unanipaga maswali mengi sana ivi ni lini tz tulikuwa great?