Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Hahah! Mzee mwenzangu naona unadaka dondoo muhimu tuSawa sawa
Walllahi...Kazi ilikuwepo![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Asante Fraggy. Heshima hiyo ikurudie pia tena sabini mara sabini sikweadi. Sikunyang'anywa nywila safari hii bana japo kupambania heshima ya ukoo kulihusika [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1220581
Hata sijui tulikuwa tunazungumzia nn hahaAti nini?
Kwema lakini bro?
Nimeiona hiyo link nikaifuatilia kidogo. Vintage Esta pyua katika urolo modo wake. Jamaa kapachikwa ushosti lakini yeye amewaka kutoa vitisho visivyo na kichwa na miguu. Naona mpaka ulimpa na kishwaini chake kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]Binti yako Yule mpole aliingia kwenye mtafaruku na jamaa kutoka Ghana akatishiwa kuanikwa picha zetu zile....
Mambo nini bro?
Wakati wengine tunapambana kujitoa huko muda huo wengine ndio mnakomaa kuingia kweli maisha hayana mfumoKwema sis?
Wakubwa wanafaidi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Asante Fraggy. Heshima hiyo ikurudie pia tena sabini mara sabini sikweadi. Sikunyang'anywa nywila safari hii bana japo kupambania heshima ya ukoo kulihusika [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1220581
Majukumu hayaishi bro. Kanafasi kakipatikana basi tunakutana hapa (In King's voice)...Hata sijui tulikuwa tunazungumzia nn haha
Salama bro, mm sijambo, habari za uzima? pole na majukumu
Hahah!Nimeiona hiyo link nikaifuatilia kidogo. Vintage Esta pyua katika urolo modo wake. Jamaa kapachikwa ushosti lakini yeye amewaka kutoa vitisho visivyo na kichwa na miguu. Naona mpaka ulimpa na kishwaini chake kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]
Mimi poa kabisa. Nilikuwa safarini tu lakini kila kitu kimekwenda vyema [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Sema kamanda. Za siku mbili tatu? Nini kipya (kinyemi) hapa?
Magazeti saa hizi MG...yatakuwa yamepandishwa kwenye basi ndio yamefika sasa!
Salama pia,, haha aiseKwema uko poa? Naona Uzi wa picha kule umewatoa nyoka wote pangoni..[emoji16]
Naendelea kujifunza mzee mwenzangu,,, sichezi mbali hahaHahah! Mzee mwenzangu naona unadaka dondoo muhimu tu
Nimepunguza paundi 20. Gym bora kabisa. Wewe lakini hujambo? Nilipoondoka nawe ulikuwa umenyang'anywa nywila [emoji16][emoji16][emoji16]Walllahi...Kazi ilikuwepo!
Tumshukuru Mungu kamanda. Nafurahi kuwakuta hapa salama pia.
🤣🤣🤣 20 paunds.. Si mchezo kwani ugomviiii???? kwani kitayeyuka?Nimepunguza paundi 20. Gym bora kabisa. Wewe lakini hujambo? Nilipoondoka nawe ulikuwa umenyang'anywa nywila [emoji16][emoji16][emoji16]
Magazeti saa hizi MG...yatakuwa yamepandishwa kwenye basi ndio yamefika sasa!
Hahah! DaahNaendelea kujifunza mzee mwenzangu,,, sichezi mbali haha
Halafu huu msemo huu!Wakubwa wanafaidi
Mi naona..Soma tu, hakuna muda rasmi wa kusoma gazeti