Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Watu humu wana upendo wa ajabu hatari
Love u all
Maxence Melo weka sticky huu uzi
Hivi unaanzaje kumpiga mwanamke Kofi !!π
Kwani noti zimeisha? ππ
Hayo manyoya vepee
Anko bana.. Wee wachimba tuuu eeh...[emoji125][emoji125][emoji125]"...kwani kitayeyuka? ....."
Kwa maana nyingine "kitumike kizoee kazi"...
Sijui lini nitakutana na hiyo kauli 'fizikale'!??!!
Yaani ni kuchimba tuuu... Una lala unaamka unachimbua tu. Kazi yangu iwe ni kuchimba tu kwa siku zangu zote za kwenye stoke zilizo bakia hapa duniani... "kwani kitayeyuka?" Aaa wapi...