Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mimi natumia pombe hii wewe unatumia IPI?
FB_IMG_15693459945070727.jpg
 
Huzuni na anguko kuu la kinafsiya
Ni kubakia katika pango la Plato
Ukidanganywa na taswira butu za uhalisia
Ambao haujawahi kuwepo
Ni kweli nilikupenda?
Ni kweli ulijipenda?
Unapendeka?

View attachment 1220910

The Don laivu ndani ya Koromije [emoji16][emoji16][emoji16]

Bro habari Gani, za kitambo kidogo karibu tena jamvini hapa
 
Back
Top Bottom