Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kila usiku, mara 3 hadi 5, au kila baada ya dakika 90 unaingia kwenye hatua ya usingizi wa ndoto. Unapoingia kwa mara ya kwanza, inakuchukua muda mfupi sana, muda wa usingizi wa ndoto ukiongezeka taratibu na hatua ya mwisho ya usingizi wa ndoto inaweza kuchukua hadi nusu saa.
 
Ishara Za Kukosa usingizi Wa Kutosha



Ikiwa unapata usingizi kwa pungufu ya saa 8 kwa siku, uwezekano ni mkubwa sana kuwa unakosa usingizi wa kiwango cha kukutosha. Na kwa bahati mbaya, inawezekana kuwa hata hujui kukusa huko kwa usingizi kunakuathiri kwa kiwango gani. Si rahisi sana kujua kuwa unaathiriwa na tatizo la kukosa usinizi wa kutosha.
 
Na kama ulishajijengea tabia ya kukosa usingizi wa kuosha, unaweza kupoteza kabisa kumbukumbu ya jinsi ulivyokuwa unajisikia pale ulipokuwa macho kabisa, ukiwa makini kabisa na mwili ukifanya kazi kwa ufanisi wa hali ya juu kabasa.
 
71285026_160136568425001_6584601397458202160_n.jpg
 
Dr, Chif Benjamin Nnamdi Azikiwe.
Azikiwe alikuwa rais wa Nigeria baada ya nchi hiyo kuwa jamuhuri mwaka 1963.
Ametawala chini ya Waziri Mkuu Tafawa Balewa kati ya octoba 1 1963 mpaka januari 16 1966, baada ya Meja Jenerali Johson Aguiyi-Ilonsi kunyakuwa madaraka ya nchi hiyo kimabavu
View attachment 1220878
[emoji818][emoji818]
 
Meja Jenerali Johsnon Thomas Umunnakwe Aguyi-Ilonsi. Huyu alikuwa Mkuu wa Majeshi kwenye Serikali ya Balewa
Jenerali Ilonsi ndiye Mwanajeshi wa kwanza kufungua milango ya utawala wa mabavu nchini humo, baada mapinduzi ya umwagaji damu yaliyomaliza uhai wa Waziri Mkuu wa nchi hiyo Alhaji Abubakar Tafawa Balewa.
Aguyi-Olonsi ni mtawala pekee wa kijeshi aliyedumu madarakani kwa muda mfupi kuliko wenzake waliofutia
Januari 15 1966 - July 1966 View attachment 1220893
[emoji818][emoji818]
 
Back
Top Bottom