Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Muda bado unaruhusu labda wanaweza kufanya maajabu..... ila leo wamekutana na fundi DiattaHawa wana wanazingua sana Mkatalunya
Huzuni na anguko kuu la kinafsiya
Ni kubakia katika pango la Plato
Ukidanganywa na taswira butu za uhalisia
Ambao haujawahi kuwepo
Ni kweli nilikupenda?
Ni kweli ulijipenda?
Unapendeka?
View attachment 1220910
The Don laivu ndani ya Koromije [emoji16][emoji16][emoji16]