Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jeneral Yakubu Gowon.
Jenerali Yakub Gowon alikuwa mtawala wa pili wa kijeshi wa Taifa kubwa la Nigeria. Yakubu Gowon aliingia madarakani baada mapinduzi ya damu yaliyomuondoa madarakani Johnson Aguyi-Ilonsi,
Gowon alitawala Nigeria kati Augost, 1, 1966 mpaka July, 29, 1975.
Gowon aliondoshwa madarakani kwenye mapinduzi yasiyokuwa ya umwagaji damu July 1975 na aliyekuwa mkuu wa majeshi kwenye utawala wake
Meja Jenerali Murtala Ramat Mohamed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…