Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
HahahahaHawachi nahisi analea, adimu/adhimu (?) sana siku hizi.
HahahahaHawachi nahisi analea, adimu/adhimu (?) sana siku hizi.
Caption mwenyekiti.
😀😀😀😀
Mrembo mapema sanaMuwe na usiku mwema
Saa 5 kasoro mapema 🙄Mrembo mapema sana
Kabla hujalala naomba ile ahadi uliyoniahidi unitimizie bestSaa 5 kasoro mapema 🙄
Me hapa ndio nishapambana hadi hatua ya mwisho 😂
#ulalesalamadear
Ipi hiyo? NikumbusheKabla hujalala naomba ile ahadi uliyoniahidi unitimizie best
Si uliniahidi utanitumia picha 😀😀😀Ipi hiyo? Nikumbushe
Ya nani 😂😂Si uliniahidi utanitumia picha 😀😀😀
Umeanza kunizungusha tena yaani nilivyo pambana ukakubali tena unaniuliza ya nani kweli 😢Ya nani 😂😂
😂😂😂😂 emu nikumbushe PM tafadhaliUmeanza kunizungusha tena yaani nilivyo pambana ukakubali tena unaniuliza ya nani kweli 😢
Muwe na usiku mwema
Bro natambua uwepo wako.
Natumaini yote ni kheri huko.