moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Wanigeria huwawezi bro, wachache sana wenye kujitambua.
Wengi wao shwaini
Wengi wao shwaini
Nmeishi na M- Nigeria mmoja mahali,
Hatukuwa tukielewana sana sababu alitaka mazoea sana na GF wangu.
Pengine ipo siku nitakutana na M- nigeria mstaarabu,