Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyu ndugu yetu BAK nimepata tetesi kwamba yupo kizuizini hapa jf.
Nadhani siyo muda mrefu tutakuwa naye hapa
Kizuizini alishatoka. Bila shaka atakuwa lile jukwaa pendwa akipambana na makamongo wa Lumumba na nduli wake [emoji16][emoji16][emoji16]
Screenshot_20191001-182843~2.jpeg
 
Back
Top Bottom