Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
HahahahaHawachi nahisi analea, adimu/adhimu (?) sana siku hizi.
Caption mwenyekiti.
ππππ
Mrembo mapema sanaMuwe na usiku mwema
Saa 5 kasoro mapema πMrembo mapema sana
Kabla hujalala naomba ile ahadi uliyoniahidi unitimizie bestSaa 5 kasoro mapema π
Me hapa ndio nishapambana hadi hatua ya mwisho π
#ulalesalamadear
Ipi hiyo? NikumbusheKabla hujalala naomba ile ahadi uliyoniahidi unitimizie best
Si uliniahidi utanitumia picha πππIpi hiyo? Nikumbushe
Ya nani ππSi uliniahidi utanitumia picha πππ
Umeanza kunizungusha tena yaani nilivyo pambana ukakubali tena unaniuliza ya nani kweli π’Ya nani ππ
ππππ emu nikumbushe PM tafadhaliUmeanza kunizungusha tena yaani nilivyo pambana ukakubali tena unaniuliza ya nani kweli π’
Muwe na usiku mwema
Bro natambua uwepo wako.
Natumaini yote ni kheri huko.