Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huu Uzi mtamu ngoja Mimi nianze
KWA MAJINA YANGU NAITWA,
Natokea kanda ya ziwa...
Umri wangu ni wa kati(njoo pm)
Nipo single
Jinsie ya kiume..
Naamini nitapata wa kuchat naye
 
SHIMBA YA BUYENZE, Andjul, mzee wa liver, Yegomasika.
Kumbukeni kitu hapaView attachment 1221159
Enzi zile. Mpaka ukapewe tunda kweli mwanaume umehangaika siyo kama siku hizi matunda bwerere tu mpaka mengine yanaanguka menyewe kutoka mtini; na ukizubaa yanaweza hata kukuangukia na kukutoa ngeu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221]
 
Hahahahaha, matunda yanajiozea mtini
Enzi zile. Mpaka ukapewe tunda kweli mwanaume umehangaika siyo kama siku hizi matunda bwerere tu mpaka mengine yanaanguka menyewe kutoka mtini; na ukizubaa yanaweza hata kukuangukia na kukutoa ngeu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221]
Angalia matango yanavyojiozea kwa wingi wake[emoji23][emoji23][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2089][emoji2089]
 
Hahahahaha, matunda yanajiozea mtini Angalia matango yanavyojiozea kwa wingi wake[emoji23][emoji23][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2089][emoji2089] View attachment 1221181
Huyu si ajabu huwa analalamika kila mwanaume anayekutana naye kuwa ana kibamia; na haridhishwi. Pambafu kabisa !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…