Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wasted Sperm !!!
Kizuizini alishatoka. Bila shaka atakuwa lile jukwaa pendwa akipambana na makamongo wa Lumumba na nduli wake [emoji16][emoji16][emoji16]Huyu ndugu yetu BAK nimepata tetesi kwamba yupo kizuizini hapa jf.
Nadhani siyo muda mrefu tutakuwa naye hapa
Kashata za ufuta ubahatishe zile zimeumuka, zenye umoto moto; na tumafuta futa hivi telezeshi ameizing' yaani waweza jisahau kuwa kuna kudedi indeed wallahi [emoji16][emoji16]Usiku wa Kashata[emoji23][emoji23]
Wapi jiraniView attachment 1221094
Hujanishtua bestSaa 5 kasoro mapema 🙄
Me hapa ndio nishapambana hadi hatua ya mwisho 😂
#ulalesalamadear
hebu fanya utume bwana.Ya nani 😂😂
Haahahha hebu njoo pm acha maneno bintisi mnakujaga tuu..uzi wann
waoooooo fungua pm yako nitumie namba yako ya mpesaHaahahha hebu njoo pm acha maneno binti
Za rangi nyekundu au orange 😋😋Hahahaha, unazikumbuka na zile kashata za nazi?