Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna wanyonya nguvu wengine ambao ni wale wasioisha kuwa na matatizo yanayohitaji ushauri.

Asubuhi atakuja kukuomba ushauri unaohusu jambo Fulani, mchana atakuja na jioni atakutafuta. Wakati mwingine ushauri anaoomba ni wa kawaida tu. Ni vizuri kumwonesha kwamba, unajali anachosema, lakini ni vema kila wakati kumwonesha kwamba, huna jibu, siyo huna nia ya kumsaidia kwenye tatizo lake. Ajue kwamba, huna jibu kwa sababu hujui. Ukikosa njia au jibu mara kadhaa, atakata tamaa na kukuacha. Usimwoneshe jeuri au dharau ama kisirani.
 
Kuna wanyonya nguvu ambao kazi yao ni kuudhi kwa maneno ya kushushua na kushushua.

Badala ya kunyamaza, akikuona na nguo ya aina Fulani, atakwambia, ‘bwana mzee huwezi kuvaa nguo za mtumba kwa hadhi yako vipi’ Ni wakati ambao kila mkikutana , watatafuta namna ya kukera kihisia zako na kujaribu kukushushua. Anaweza mtu kusema ‘ mbona afya yako inazidi kuwa mbaya’ bila hata sababu ya msingi. Ni watu ambao muda wote wanataka kuumiza hisia za mwingine.
 
Bila shaka umeshawahi kukutana na mmoja kati ya wanyonya nguvu hawa. Jitahidi wakati wote kuwa makini wasije wakafanikiwa kukuweka chini ya himaya zao. Jitahidi kuwabaini na kujua namna ya kuwaondolea mbali kwenye maisha yako.
 
Utakuja kuniharibia Ijumaa yangu bure tu. Inauma. Nalog off...

 
Yote ni kuwachanganya wapinzani tu, Naona kama hauutaki hivi kumbe umeonesha ishara kwa kidole kwamba uletwe kwa mbele

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nimecheka sana Mkatalunya hufai Aisee
 
Mkuu.....
Baraka ziwe kwako. nchi zetu mpaka kukaa vizuri bado...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…