moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Nadhani bado tumefunikwa blanket na tunaendelea kuuchapa usingizi mchana wa jua kali.
Ila ikumbukwe kuwa Almas hazivunwi kwa hila miaka nenda bila timbwili, tukaulize Siera Leone, Angola na Congo
Ila ikumbukwe kuwa Almas hazivunwi kwa hila miaka nenda bila timbwili, tukaulize Siera Leone, Angola na Congo
Si ajabu tumeshawapa kila kitu lease ya miaka 99. Na mijitu michache imetajirikia hapo kwa mikataba ya aina hii. Sisi bado sana yaani [emoji36][emoji36]