Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Solskjaer pia amekuwa akitetewa na mastaa wenzake wa zamani klabuni hapo ambapo Jumatatu usiku mara baada ya sare ya 1-1 dhidi ya Arsenal, nahodha wake wa zamani United, Roy Keane alionyesha kumuunga mkono licha ya staa huyo kusifika kwa tabia zake za kuponda.
 
Nadhani amekuwa mzuri sana, ni mtu mkweli. Kwa sasa ni kazi ngumu, kuna wachezaji makinda sita au saba ambao bado wanajifunza. Hatuna uvumilivu, tunataka mafanikio ya ghafla, lakini inabidi tumpe muda. Anakerwa na kinachoendelea, yupo katika presha, lakini anashughulika nayo. Ni mtu bora lakini hapana shaka kwamba atakuwa anaudhika sana kutoshinda mechi nyingi,” alisema Keane.
 
Nimempongeza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kwa kuwatandika viboko wanafunzi, haiwezekani tunajenga shule halafu Watoto wanaenda kuchoma, nimemuambia fukuza wote kwahiyo Form 5 na 6 wote wamefukuzwa na Bodi imevunjwa, eti Haki za Binadamu!, Haki za Binadamu watoto wawe na viburi vya kipumbavu!?, hao wa Haki za Binadamu wakayejenge basi hayo mabweni" - Ameyasema Hayo Raisi Magufuli....
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…