moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Matatizo hayaondoki kwa kulia lia na kulaumu
Kila tatizo lina maksudi yake, swala ni kusikiliza akili yako.
Matatizo ni fursa, inyakue
Matatizo ni ujumbe, usikilize
Matatizo ni sumaku inayotuvuta karibu na Mungu
Haijalishi tatizo lako ni kubwa kiasi gani, cha msingi Pambana
Hakuna anayefurahia uchungu wa kung`olewa jino, ila kila mtu anafurahia matokeo yake π
Matatizo yanaongeza nguvu
Jua kali ndio hufanya kivuli kuwa na thamani
Upweke ndio huleta thamani ya urafiki
Aisee sometimes hakuna kufurahia. Nilishawahi ona mtu aliyeng'olewa jino kinywa na shingo vikavimba mpaka akafariki...
π π πUkizubaa hapa utajikuta unaitwa bro na kila binti halafu itakuwa imekula kwako. Mimi nina sis mmoja tu hapa akiwa vizuri nakula shikamoo yangu kwa heshima zote. Wengine wote wanikome sitaki kabisa kufungiwa kwenye hizi zones katili za brozone, friendzone, uhengazone na zingine zote [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Eeeeeh[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Me uongeaji wao tu πππWavuta bange wa Arusha ni tatizo[emoji1787][emoji1787]View attachment 1223895