moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Me uongeaji wao tu [emoji8][emoji8][emoji8]
Jamani hivi viembe 😋 ni mwendo wa kufyoza tuMsimu tayari hapa BagamoyoView attachment 1223899
Sijambo Bro 😜Hujambo mrembo
Jamani hivi viembe [emoji39] ni mwendo wa kufyoza tu
Sijambo Bro [emoji12]
Habari ya wewe? Nimeona bana mnapambana kulifuta jina la 'Bro
Navimiss, huku kwa wavuta Bangi Original bado sijaviona 😂😂Pande za huku Bagamoyo inaitwa "Embe Nyonya"[emoji23][emoji23]
Navimiss, huku kwa wavuta Bangi Original bado sijaviona [emoji23][emoji23]
😂😂😂 nitajitahidi ila kuna kusahau BroUsirudie kuniita bro[emoji23][emoji23]
Ohooo[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Nikija nitakwambia uniandalieUje Bgy unyonye[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] nitajitahidi ila kuna kusahau Bro
Ninge aje ajioneee hapaSYB, Ninge, King
#AchaApateUhondo
#hataMimiHiziNiMbinuTuu
#subiriMtegoUfyatuke
Ee hahahahaBraza yuko vizuri. Utaweza kumtia kwenye ubrazazone braza kama huyu? [emoji16][emoji16][emoji16]
Ujumbe mzuri sana uwe unatuletea nondo za hivi tuende sawa katika kula likes na elimu njema🙏🙏🙏,
The Don hulalii👀, huu ujumbe nimekuta mahali nikaona vyema kushare nanyi japo kwa uchache
Aiseee!!Uje Bgy unyonye[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante sana.
Matatizo yanaondoka kwa uvumilivu na kisha kuchukua hatua[emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] nimeshatamani,Msimu tayari hapa BagamoyoView attachment 1223899
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii kitu hiii...View attachment 1223903
Hamna bata huko,huyu ni bale part two kila siku majeruhiBora aende zake akale bata mbele huko