Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Historia inataka kujirudia aiseee wakatalunya hawanaga bahati#kunanukiaMapinduziHapa
#CoutD'etat
Heheheheee aiseeeHapa hapa.
#tukiomaUjiraniUmepitishwaTutajuaMshatest
AloooJizazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna kipindi demu wangu alihongwa pikipiki halafu akanisahau. Shwaini zake mla rushwa yule !!!
Good niuzi ni kwamba The Don alishastaafu rasmi na haya mambo. Huu ni wakati wenu vijana. The Don kwa sasa ni mshereheshaji, mtoa ushauri na mwongozaji. Msiwe na shaka madogo zangu nyie. I love you guys na nikiona harakati zenu hapa na kwingine nafurahi sana. Donti wori. Bi hapi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]#kunanukiaMapinduziHapa
#CoutD'etat
Esta bana. Nimecheka kweli aisee. Eti Wakatalunya hawana bahati. Makatalunya majamaa yakikuamria huwa hayana simile. Na wala hayahitaji bahati. Yanategemea mikakati, swaga na ushua [emoji16][emoji16][emoji16]Historia inataka kujirudia aiseee wakatalunya hawanaga bahati
#coleasionehapa
Kwa tunaotumua app hii attachment haifunguki. Ila yaweza kuwa ni ishu ya hii TECNO yangu tu...
Duh! Hizo nyanda tabu tupuBariadi moja hii [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah![emoji23][emoji23][emoji23]
#janabrokageukayegomasika
#lorilamauamixermatunda
Hahah!hahahahahaha, nikajua hujaona.
#mizigoYaNdaniSioDhamanaYetu
ππππHapa hapa.
#tukiomaUjiraniUmepitishwaTutajuaMshatest
Weekend iko bomba BroKwema Depal?
Wikendi inaendeleaje?
HahahHahah!
#AchatubroTenasaasabausiku
#Aliongezaubunifukwamatunda
Ni midoli tu hiyo ya kibongo naona network haikuwa Poa zikaja mbiliKwa tunaotumua app hii attachment haifunguki. Ila yaweza kuwa ni ishu ya hii TECNO yangu tu...
Niwape siri madogo zangu. Swaga zenu. Ujana wenu. Ushua wenu. Mahela yenu. Ukatalunya wenu. Shoo za kibabe uwanjani....Kuna wakati yote haya yanakuwa ni bure tu. Mwanamke ni kiumbe mwenye hisia sana na kuridhishwa kwake kihisia na kisaikolojia ndiyo hitaji pengine kuu kuliko yote katika ndoa na mahusiano. Hata mkienda huko kuangalia sinema kama jana, hakikisheni kuwa mnalinda huu uwanja wa hisia usiingiliwe.[emoji23][emoji23][emoji23]
#janabrokageukayegomasika
#lorilamauamixermatunda