capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Niliumia siku ile ulipo nikataa hapa jukwaani baada ya kukwambia nina watoto ukaandika siwezi kulea timu ya mpira. Nimeamua kutokua na bae ππππ
π ππππ sasa mnaikataa iyo zone basi mtoe na majina mbadala ya kuitwa
#mekuitamtumkuusiwezi ππ
Upo kama Mimi kuita mkuu sipendi niliamua kuita kila member mpendwa.πππ sasa mnaikataa iyo zone basi mtoe na majina mbadala ya kuitwa
#mekuitamtumkuusiwezi ππ
Kwaniaba ya NgoshaUpo kama Mimi kuita mkuu sipendi niliamua kuita kila member mpendwa.
Sawa bro πππ π
Jichagulie jina lolote ukiniita nitaitika!
πππkushukuru maana yake ni kuomba tena
πππWekeza katika shukrani uepuke balaa