Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mweee mweee raundi moja haitoshi babu weee khaa utadhan unaibia raha ya nanii raund sita za kibabeumeona eeeeehhhhhh!
nashangaa huko kwenu munahangaika na miguvu ya kiume wakati roundi moja tu inazalisha mtoto.
kama anataka raundi 10 si atafute roboti la mashineeee
Heheheheeee kwangu tushazoea hali kuwe na jua au mvua hakuna matata ila kwenu mmh hali mbaya kukinyesha kidogo tu mafuriko mpaka kwa rumAsante sana.... Ila hii pole leo mbona umeitoa kwa nidhamu sana embu ngoja niangalie matokeo yako
Hahah!umeona eeeeehhhhhh!
nashangaa huko kwenu munahangaika na miguvu ya kiume wakati roundi moja tu inazalisha mtoto.
kama anataka raundi 10 si atafute roboti la mashineeee
Ole tuliekuwa tunamsifia misifa kede kede ndo huyu huyu anatuvua nguo hadharan so sadkuna mlevi mmoja nimemsikia ananena muda huu
bora uangalie video za ngono utaburudika kuliko kuangalia manchester united.
dakika 45 tumepiga shuti moja
raundi moja utaibiwa mpaka nguo za ndani na mwenza wako.Mweee mweee raundi moja haitoshi babu weee khaa utadhan unaibia raha ya nanii raund sita za kibabe
[emoji23][emoji23][emoji23]Ha hah
Me nataka mambo mazuri Buana!!
U-Bro/U-friend zone abaki nao Yego na Genge lake.
nimebaki najishauri muda huu sijui nirudi tena kwenye tv au niendeleee kutafuta like kwenye uzi pendwa?Mweee mweee raundi moja haitoshi babu weee khaa utadhan unaibia raha ya nanii raund sita za kibabe
Ata sisi tumezoea hii hali mwanzo mwa msimu lazima tutangulize mtu alafu tujekumpita kama kasimamaHeheheheeee kwangu tushazoea hali kuwe na jua au mvua hakuna matata ila kwenu mmh hali mbaya kukinyesha kidogo tu mafuriko mpaka kwa rum
ShindwaNatamani barca nao wapigwe
Viwanda ndio hivyo vya raundi sita,chapa kazi matokeo mbelen tunaijaza dunia ya mbeleniraundi moja utaibiwa mpaka nguo za ndani na mwenza wako.
raundi 6 huo muda wa kuzalisha viwandani mutaupata wapi.
hii ni tanzania ya viwanda
Aaah wapi safari hii majogoo yamejipanga vya kutosha,hb anord nae anyanyue kwapa la eplAta sisi tumezoea hii hali mwanzo mwa msimu lazima tutangulize mtu alafu tujekumpita kama kasimama
HahahahaaShindwa
Na sisi tunazidi kukuombea[emoji2][emoji2][emoji2]nitajitahidi
Uzuri mmoja nikwamba hizi kauli sio ngeni zinajirudia kila msimuAaah wapi safari hii majogoo yamejipanga vya kutosha,hb anord nae anyanyue kwapa la epl
Raundi moja ndefu komavu yenye vikolombwezo lukuki tena iliyofanywa vizuri hatua kwa hatua ikakufikisha mawenzi zaidi ya mara tatu inakutosha kabisa. Tena mwenyewe utalia na kusema The Don nimeshatosheka miye niwache nilale halooooo [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Mweee mweee raundi moja haitoshi babu weee khaa utadhan unaibia raha ya nanii raund sita za kibabe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiniitaga Shimba Ngosha The Don yaani nasikiaga raha ya ajabu mpaka na kimzizimo cha fikra juu. Hujui tu...[emoji16][emoji16][emoji16]
#KingWakoAsiioneHii
Na uzuri ni kwamba msimu huu kuna VARUzuri mmoja nikwamba hizi kauli sio ngeni zinajirudia kila msimu
Bro katika ubora wake hahahahaaRaundi moja ndefu komavu yenye vikolombwezo lukuki tena iliyofanywa vizuri hatua kwa hatua ikakufikisha mawenzi zaidi ya mara tatu inakutosha kabisa. Tena mwenyewe utalia na kusema The Don nimeshatosheka miye niwache nilale halooooo [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Mizigo hii ninayohangaikaga nayo kulinda heshima ya ukoo bila hivyo ningekuwa nshaRIP zamani sana. Raundi nyingi hazina uhusiano na quality ya gemu na idadi ya safari za kwenda Kibo na Mawenzi !!!