Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

babu SHIMBA YA BUYENZE kuna mdau anataka fomu ya usajili wa kujiunga humu ndani na nimemwambia aonane na wewe (msukuma pekee mwenye six pack)
Mimi sina siksi paki. Nina kakitambi fresh tu kananisaidiaga sana kufutia TECNO yangu...

Mwambie ajisikie huru tu. Cha muhimu asije na gia za siasa (kupita kiasi), matusi au ponografia [emoji16]
 
Mimi sina siksi paki. Nina kakitambi fresh tu kananisaidiaga sana kufutia TECNO yangu...

Mwambie ajisikie huru tu. Cha muhimu asije na gia za siasa (kupita kiasi), matusi au ponografia [emoji16]
siasa kulee kwa paskali mayalla.
yule mzee akiandika makala utadhani wasomaji wanalipia.
zinakuwa ndefuuuu kama the great wall
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…