Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
ππππ Sawa nimekuelewa maana hakuna mamna sasaDada wa kweli lazima akuchangamshee, dada hafai kupoa kama uji wa mgonjwa[emoji28]
Duh! Jirani zinapatikana wapi hizo malighafi....Hashua hizo
Heheh!King atafanya kazi yake[emoji473]
#KubembelezaUsikuKucha
HatariiLeo jijini Manchester kuna misiba miwili
Munaangalia game au mumeshaenda kuangalia video za ngono?kuna mlevi mmoja nimemsikia ananena muda huu
bora uangalie video za ngono utaburudika kuliko kuangalia manchester united.
dakika 45 tumepiga shuti moja
Hapa niligeuzaNewcastle 0 vs 1 Man U
huyu zeru zeru amepiga shuti imenyooka kama nyokaMama weeeee na mimi nafa huku
View attachment 1225237
Traore kingMajirani huko kwenu vipi?