carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23]pole sana shemejiNimetumwa leo kwenda kununua hii faundesheni halafu nimpelekee kwake. Kumbe zina namba. Nilipoleta moto ukaniwakia eti nimekosea namba na rangi siyo yenyewe. Sasa mi ningejuaje hiyo namba na hizo rangi? Wanawake bana dah [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1225430
Nmependa #Bro inaonekana huwa unadaka vislay kwin tu..foundation anataka kuficha nini matuta ama chunusi. Pole
#teamnatural
Kaka yako alivyo na wivu sasa[emoji38][emoji38][emoji38]Hehehehe huwa hatuangishi watu tunapigwa kamoja tu sio viwili welcome mchepukon
Nipo naburuzwa tu na mvua za mjini. Zile ndude zinapatikana kiwanja gani? Huku kwetu zimepaa beiKumbe uko mjin?
[emoji120][emoji120]A good day to everyone.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaniView attachment 1225495
Good morning man utd fam [emoji125]
Waaleykum salaamAsalaam Alyeikum
Milele amina[emoji120][emoji120]Tumsifu Yesu Kristo
Pole sanaNimeamkia kwa dentist leo.
#jinoBro
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
NalifanyiaKaziHapaPole sana
#dawayajinokung'oa
Naomba picha πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#tukokwenyesherehezauhuru
#achanifurahiekablasijatoanywila
Nimetoka huko jumamosi.Nipo naburuzwa tu na mvua za mjini. Zile ndude zinapatikana kiwanja gani? Huku kwetu zimepaa bei
Umesha ling'oa?
Maneno ya mfa maji tuu hayo.Hehehehe huwa hatuangishi watu tunapigwa kamoja tu sio viwili welcome mchepukon
Mpe pole sana mamaUmesha ling'oa?
Jana nimempeleka mama pale Kibaha, badala ya kung'oa nikashangaa wanaleta limbunduki wakaanza kulishambulia jino la watu maskini!! Nawauliza nini hicho? Eti jino linajaziwa nini sijui?!!! Nilichoka...
Nikawauliza kama nataka "huku" kujaziwe na hilo lidude inawezekana? Toka walivyo ingia chumbani hawakutoka mpaka nikaamua kuondoka na mai waifu wangu.
Nadhani nitang'oa, namsubiria mtaalam.Umesha ling'oa?