Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

huyo kirikuuu amtake nani?
mtu mwenyewe mpaka season 2 imeshafika lakini bado havai nguo.
ndevu nyingiii kama manyoya ya kondooo wa somalia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]subiria povu la wafuasi wake

Ila messi nje ya barca wa kawaida mno asubirie tu hapo hapo mpaka muda wa kustaafu aimuige THE GOAT
 
Ujumbe kama huo umetumwa pia kwa mshambuliaji mwingine wa timu hiyo, Marcus Rashford kwamba kama wanataka kubaki kwenye kikosi, basi wacheze mpira na si kufikiria mambo mengine ya huko uswahili.
Onyo hilo la Solskjaer limeungwa mkono na msaidizi wake Mike Phelan, ambaye amesisitiza kwamba anataka wachezaji hao wawili kuweka adabu na kuwa na nidhamu bora kwenye vyumba vya kubadilishia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…