cosmonaut
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 1,392
- 2,770
[emoji2955]
nikupe kali ya leo.
znz kuna shamba fulani ukienda utakutana na kilima flani kinaitwa kilima nyege.
bwana weeee kuna kiongozi fulani mkubwa sana ambaye kwa sasa ni mstaafu kutoka huko kwenu utanganyikani aliwahi kupitishwa hiyo barabara.
kuna hisia fulani za ajabu zilimjia bada ya kupitishwa kwenye hicho kilima jambo lililopelekea asimamishe msafara na kumtaka dereva wake arudishe tena gari nyuma ili apite kwa mara nyengine tena kwenye kilima nyege.
hapana mimi ni mcongo from loghaaaa kabanda le ngomaaa de papiiii shimbaaaa ya buyenzeeeeeMkuu wewe ni mzanzibaa
juzi kaota anakufa ndio maana amefuta tattoo zote.
Siku 7 tu zinatosha? Kwa nini muda mfupi hivi?[emoji2955]View attachment 1227582
hapana mimi ni mcongo from loghaaaa kabanda le ngomaaa de papiiii shimbaaaa ya buyenzeeeee
sijuiAzalaki awa maana yele nini mkuu