moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hizo siku saba zenyewe moto kwa waandikishaji. Vituon hamna watu kabisaa,mwamko mdogo mnoSiku 7 tu zinatosha? Kwa nini muda mfupi hivi?
Mpaka naanza kujisikia vibaya quote mbili mbili za kazi gani okay UTANI NAWE UISHEMimi naomba tuishie hapa.
Ni shidaYani haijakatika tangu asubui
We jamaa wewe basi tu. Ukinywaga supu yako ya pweza basi tu full vicheko yaani [emoji16][emoji16]hapana mimi ni mcongo from loghaaaa kabanda le ngomaaa de papiiii shimbaaaa ya buyenzeeeee
Nagonga likes tu wala sifuatilii mijadala. SYB kafanya nini tena? Kawajaza akina nani? Kawajaza nini?Sielewi ndio
We msikilize SYB anavyowajaza tu
Tulikumiss tuNagonga likes tu wala sifuatilii mijadala. SYB kafanya nini tena? Kawajaza akina nani? Kawajaza nini?
Arusha mvua kubwa leo