Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Alafu utakuta eti kuna mijamaa inapenda hizo dizain
Duniani hapa ni kila mtu na lwake kamanda. Wengine majimama, wengine vimbaumbau vyenye njaa, wengine misambwanda, wengine flat screen ali mradi kila mtu na ridhiko lake. Na kwa wazungu huko maumbile haya yanatamaniwa sana na operesheni za kuyakuza ni biashara kubwa ya mamilioni kama siyo mabilioni.
 
[emoji23] [emoji23][emoji23]

Toka Majuzi nilimuona anayo talent akasema anawakilisha tu, sasa namuona kaamua kujilipua kabisa
Wenye fani hiyo tunastaafu staafu so siyo vibaya talents mpya zikiingia mzigoni. Akitaka na mafaili yote aseme tu tumkabidhi. Na mwenzangu BAK naye sijui kakwama wapi
 
Bradha siyo mpole. Ni mkorofi wa chini chini. Nilikuwa natamani kweli rolo modo wangu amnyoroshe leo [emoji16][emoji16][emoji16]

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Ni utani. Nisije nikakwotiwa vibaya.
Hahah! Napenda unavyojua kuwahi kujipa kinga bado mapema lakini ujumbe unakua umeshafika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…